Jamani nimepotelewa na wallet yangu wakati nikiwa ndanibya garri nikitokea Mkoani Lindi maeneo ya Mbagala,
Ndani kuna vitambulisho mbali mbali vyenye majina ya ZENA K KALOMBI, pamoja na nyaraka nyingine,
Tafadhali atakayevipata naomba apeleke kituo chochote cha polisi au tuwasiliane:
zenakazumarikalombi@gmail.com.