Hello Niko interested kutembelea nchi hapo juu za Africa kaskazini kwa utalii.
Ningependa kujua visa za nchi hizo zinapatkana wapi kama kwenye mabalozi au evisa na kwa gharama gani?
Niko Tanga, Tanzania
Nb:Nimejaribu kuangalia website zao mtandaoni sioni details zaidi.
Ningependa kwa wenye ujuzi zaidi na waliosafiri nchi hizo wanipe msaada.