PastorA JF-Expert Member Jul 14, 2016 361 275 Jan 18, 2017 #1 Ndugu zangu nahitaji kufanya biashara ndogondogo ya tigopesa na vitu vingine Nawezaje kupata leseni ya biashara na vingine vinavyo takiwa kama Tini number? Naomba msaada ndugu zangu
Ndugu zangu nahitaji kufanya biashara ndogondogo ya tigopesa na vitu vingine Nawezaje kupata leseni ya biashara na vingine vinavyo takiwa kama Tini number? Naomba msaada ndugu zangu
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,256 16,317 Jan 18, 2017 #2 kwanza kabisa lazima uwe na tin namba ninayo lakini nishasahau ila maelekezo niliyapata google