Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,493
- 5,009
Habari wana jukwaa, ndani ya playstore kumekua na app (utiriri wa apps) nyingi ambazo zingine kimsingi wala hazina ufanisi au hata hazifanyi kazi kabisa.
Lakini kiuhalisia ndan ya Apple store wao app zao ni chache ila zinaufanisi kwa kile kilichokusudiwa,sasa basi kupitia uzi huu tujuzane app nzuri ambazo App store zipo na Playstore pia zipo ila wengi hatuzijui ili tuweze kifaidika.
Mimi binafsi ninaanza na app moja inaitwa 1.1.1 hii ni vpn app nzuri iko pande zote mbili ila wengi upande wa Playstore hawaijui sana .
Nakaribisha wadau muweze kuchangia.