Niccolo Machiavelli JF-Expert Member Feb 7, 2017 1,881 3,645 May 26, 2017 #1 Kama kichwa cha habari kinavouliza,naombeni kueleweshwa tofauti
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,593 70,875 May 26, 2017 #2 Lager inakuwa na mning'inio wa ziada LITE ni nyepesi haina mning'inio wa ziada Lager huwa chungu Lite haiwi chungu sana
Lager inakuwa na mning'inio wa ziada LITE ni nyepesi haina mning'inio wa ziada Lager huwa chungu Lite haiwi chungu sana
Mr. MTUI JF-Expert Member Feb 18, 2013 8,130 8,354 May 26, 2017 #3 Zote ni lager utofauti ni kiwango cha pombe na uchungu.. Light alcohol yake ni chini ya 4 na ipo soft
Zote ni lager utofauti ni kiwango cha pombe na uchungu.. Light alcohol yake ni chini ya 4 na ipo soft
bwii JF-Expert Member May 24, 2014 1,429 2,668 May 26, 2017 #4 Kunywa light 7 leo na baada ya siku 3 ama 4 piga lager 7 then skilizia tofauti!! Citeris peribus
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,593 70,875 May 26, 2017 #5 Joseverest said: Lager inakuwa na mning'inio wa ziada LITE ni nyepesi haina mning'inio wa ziada Lager huwa chungu Lite haiwi chungu sana Click to expand... Lite zina alcohol content ndogo while lager zinakuwa na Alcohol kubwa
Joseverest said: Lager inakuwa na mning'inio wa ziada LITE ni nyepesi haina mning'inio wa ziada Lager huwa chungu Lite haiwi chungu sana Click to expand... Lite zina alcohol content ndogo while lager zinakuwa na Alcohol kubwa
Chuck j JF-Expert Member Jun 17, 2011 2,361 824 May 26, 2017 #6 ukhuty said: Mmmh Click to expand... Kapena said: Hapa utajibiwa na Wakristo wenzako wala Nguruwe na wanywa pombe.. Sisi Waislamu tunaukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan. Yaaa Ramadhaaaan... Click to expand... Mbona umejibu?
ukhuty said: Mmmh Click to expand... Kapena said: Hapa utajibiwa na Wakristo wenzako wala Nguruwe na wanywa pombe.. Sisi Waislamu tunaukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan. Yaaa Ramadhaaaan... Click to expand... Mbona umejibu?
Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,657 20,944 May 26, 2017 #7 Lite ni lager yenye kiasi kidogo cha pombe.
Ngalikihinja JF-Expert Member Sep 1, 2009 33,177 35,340 May 26, 2017 #8 Kapena, huu mwezi kitimoto na bia vitaanza kudoda.... SIJUI UNALIZUNGUMZIAJE HILI
Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,657 20,944 May 26, 2017 #9 Joseverest said: Lager inakuwa na mning'inio wa ziada LITE ni nyepesi haina mning'inio wa ziada Lager huwa chungu Lite haiwi chungu sana Click to expand... Chungu zinaitws stout. Kama guiness na milk stout.
Joseverest said: Lager inakuwa na mning'inio wa ziada LITE ni nyepesi haina mning'inio wa ziada Lager huwa chungu Lite haiwi chungu sana Click to expand... Chungu zinaitws stout. Kama guiness na milk stout.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,593 70,875 May 26, 2017 #10 Red Giant said: Chungu zinaitws stout. Kama guiness na milk stout. Click to expand... ni kweli mkuu...ila namaanisha sio uchungu ule wa stout..ule wa kawaida
Red Giant said: Chungu zinaitws stout. Kama guiness na milk stout. Click to expand... ni kweli mkuu...ila namaanisha sio uchungu ule wa stout..ule wa kawaida
M Manyunchwi JF-Expert Member May 11, 2013 431 149 May 26, 2017 #11 bwii said: Kunywa light 7 leo na baada ya siku 3 ama 4 piga lager 7 then skilizia tofauti!! Citeris peribus Click to expand... Ce bwii said: Kunywa light 7 leo na baada ya siku 3 ama 4 piga lager 7 then skilizia tofauti!! Citeris peribus Click to expand... ceteris paribus
bwii said: Kunywa light 7 leo na baada ya siku 3 ama 4 piga lager 7 then skilizia tofauti!! Citeris peribus Click to expand... Ce bwii said: Kunywa light 7 leo na baada ya siku 3 ama 4 piga lager 7 then skilizia tofauti!! Citeris peribus Click to expand... ceteris paribus