Huwa wanategemea maji yaliyotuama ili kuzaliania,yani jike huwa anataga mayayi yanakuwa yameshikana kama kamba hivi sasa dume huja kuyarutubisha yakiwa njee,so msimu wa maji ndio wanazaana sana ingawa nahisi hata life span yao sijui ni seasaonal kwa hili sina hakika nalo sana,ila kuna chura aina nyingi sana majini na ardhini