Me mwyewe nilitaka kujuaa apo mkuu!! Kama ipo!?Nataka kuapply diploma in primary education but kwenye guidebook ipo lakini nikifanya application zilizopo ni certificate tu ....shida ni nini na snifanyeje?
Nkinga ya mjini tabora wanatoakwa maelezo niliyopata kutoka kwa kiongoz wa chuo furani kilichopo arusha ni kwanba ili mtu asome ordinary diploma anatakiwa awe na elimu ya form six au awe na certificate ya ualimu ila kwa form four wote wanatakiwa waanze na technician certificate NTA level 5 miaka miwili halafu badae ndiyo asome diploma NTA level 6 miaka miwili.
Hizi ni taarifa za uhakika kwa mujibu wa sim niliyopiga.
Akisoma techinician certificate in primary education hiyo miaka miwili anaajiriwa au lazima asome diplomakwa maelezo niliyopata kutoka kwa kiongoz wa chuo furani kilichopo arusha ni kwanba ili mtu asome ordinary diploma anatakiwa awe na elimu ya form six au awe na certificate ya ualimu ila kwa form four wote wanatakiwa waanze na technician certificate NTA level 5 miaka miwili halafu badae ndiyo asome diploma NTA level 6 miaka miwili.
Hizi ni taarifa za uhakika kwa mujibu wa sim niliyopiga.