Anselem mathew
Senior Member
- May 17, 2017
- 107
- 66
Vp clinical medicine naweza kupiga diplomaInategemeana unapenda nini hapo kozi za afya zote zinakubali na inategemeana na chuo unachoomba
Target ni nzuri zaidi kuliko kufanya bora liende lolote kwa kozi yeyote,fanya unachokipenda
Ni nzuri sana unaweza kusoma cha msingi uwe vizuri kuapply chuo kizuriVp clinical medicine naweza kupiga diploma
d tano pia ninazo ila na math wanataka D na mm Nina F hapa daaa pananiumiza sanaNi nzuri sana unaweza kusoma cha msingi uwe vizuri kuapply chuo kizuri
Clinical medicine mkuumalengo yako yalikua kusomea nini labda...
Omba tu utachaguliwaWadau mambo VP naombeni msaada wenu juu ya kozi IPI naweza kusoma kulingana na matokeo yangu haya physics D chemistry C biology C English C civics C geography C math F na history D ushaur wenu wakuu
Guidebook ndo zinanitisha sana wanataka math D mkuuOmba tu utachaguliwa
Angalia kozi zisizo hitaji basic math kama pharmacy,nursing, dental therapistHi
Guidebook ndo zinanitisha sana wanataka math D mkuu
Sawa mkuuAngalia kozi zisizo hitaji basic math kama pharmacy,nursing, dental therapist
Wadau mambo VP naombeni msaada wenu juu ya kozi IPI naweza kusoma kulingana na matokeo yangu haya physics D chemistry C biology C English C civics C geography C math F na history D ushaur wenu wakuu
Mkuu nafikiri pharmacy inahitaji basic mathAngalia kozi zisizo hitaji basic math kama pharmacy,nursing, dental therapist
I think math ni kigezo cha ziada,physics ndo muhimu,guidebook umeisomaMkuu nafikiri pharmacy inahitaji basic math
Wewe usijali kijana tenmbelea vyuo vya private wanakupokea, hiyo math wameiekea priority special sana kwaajili ya vyuo vyuo serkali, km upo dar nenda nenda Kam college kimara paleSasa wanasema
d tano pia ninazo ila na math wanataka D na mm Nina F hapa daaa pananiumiza sana