reguly solver Senior Member Dec 29, 2016 121 64 Feb 14, 2017 #1 wakuu za jion. jmn kuna rafik ang anahitaji msaada juu ya hili..anatumia sim double line bt line moja akieka line ya airtel inakataa kufunguka. inatuambia tuingize SIM ME LOCK CODE so ni ipi hyo.. sim ni HUAWEI ASCEND Y330. ntashukuru kwa msaada
wakuu za jion. jmn kuna rafik ang anahitaji msaada juu ya hili..anatumia sim double line bt line moja akieka line ya airtel inakataa kufunguka. inatuambia tuingize SIM ME LOCK CODE so ni ipi hyo.. sim ni HUAWEI ASCEND Y330. ntashukuru kwa msaada
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 31,339 41,679 Feb 14, 2017 #2 inamaana imelockiwa mtandao mmoja, waone wanao unlock simu watakutolea. Mwl.RCT
reguly solver Senior Member Dec 29, 2016 121 64 Feb 14, 2017 Thread starter #3 shukran mkuu..ni line moja tu ya m airtel zingne zote saf,..shukran mkuu ngoja tulifanyie kaz
emanuel hebron JF-Expert Member Nov 26, 2014 398 178 Feb 15, 2017 #4 Chief-Mkwawa said: inamaana imelockiwa mtandao mmoja, waone wanao unlock simu watakutolea. Mwl.RCT Click to expand... Chief msaada S5 yangu ipo kwnye dark mode nimeshindwa kuirudisha kawaida km inavyoonekana hapo
Chief-Mkwawa said: inamaana imelockiwa mtandao mmoja, waone wanao unlock simu watakutolea. Mwl.RCT Click to expand... Chief msaada S5 yangu ipo kwnye dark mode nimeshindwa kuirudisha kawaida km inavyoonekana hapo
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 31,339 41,679 Feb 15, 2017 #5 emanuel hebron said: Chief msaada S5 yangu ipo kwnye dark mode nimeshindwa kuirudisha kawaida km inavyoonekana hapo Click to expand... screenshot yako ipo kawaida mkuu nahisi utakuwa ume invert color, inaonekana kama negative ya mkanda wa zamani wa camera? kama hivi? kama ndio nenda setting halafu accessibility halafu vision utaona negative color
emanuel hebron said: Chief msaada S5 yangu ipo kwnye dark mode nimeshindwa kuirudisha kawaida km inavyoonekana hapo Click to expand... screenshot yako ipo kawaida mkuu nahisi utakuwa ume invert color, inaonekana kama negative ya mkanda wa zamani wa camera? kama hivi? kama ndio nenda setting halafu accessibility halafu vision utaona negative color
kcamp JF-Expert Member Aug 31, 2014 8,514 7,953 Feb 15, 2017 #6 reguly solver said: wakuu za jion. jmn kuna rafik ang anahitaji msaada juu ya hili..anatumia sim double line bt line moja akieka line ya airtel inakataa kufunguka. inatuambia tuingize SIM ME LOCK CODE so ni ipi hyo.. sim ni HUAWEI ASCEND Y330. ntashukuru kwa msaada Click to expand... Pitia hapa Jifunze jinsi ya ku-unlock Tecno Y3+
reguly solver said: wakuu za jion. jmn kuna rafik ang anahitaji msaada juu ya hili..anatumia sim double line bt line moja akieka line ya airtel inakataa kufunguka. inatuambia tuingize SIM ME LOCK CODE so ni ipi hyo.. sim ni HUAWEI ASCEND Y330. ntashukuru kwa msaada Click to expand... Pitia hapa Jifunze jinsi ya ku-unlock Tecno Y3+