basi uwe unacopy kwanza kwenye desktop alafu ndo unaweka kwenye flash pili jaribu ku install driver boosterHapana ya windows ni tofauti na hiyoo
install drive boosterNilifanya hvyoo ! Zinakubali,
Ila mara nying znagoma kukubali mara chache sana
Sawa sasa hv naletaa details zakeNgoja nikwambue tu iyo disk health itakua imesha shuka
Cha kufanya intall software inayo itwa hard disk essential angalia health na perfomanc ya iyo disk afu uje unimbie
Copy vtu vyako faster mana disk hako soon inakufa na ndo utakua ushapoteza kila kitu
Itoe kwenye computer mana uwez rudizha uwezowake kama ule aa zaman zaid zaid ikiendelea kuepo itafanya computer yako kua nzito
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Copy vtu vyako achana na iyo disk ishakufa mkuuPerformance ina 100%
Health ina 4%