lazma moja wataufunga mana hawaruhusu kutumia acc mbili kwa jina moja.Jamani naomba kufahamu, nina account mbili za Adsense na zote nimesajili kwa majina yanayo fanana, pia account moja nilishapokea barua na nika-verify account, sasa na hii account ya pili nimetumia address hiyo hiyo niliyotumia mwanzoni je kuna tatizo hapo?, na je nitaweza kuwa nachukua hela western union kwa kutumia kitambulisho kimoja kwa account zote mbili? naombeni mwongozo wenu ndugu zangu.... natanguliza shukrani
lazma moja wataufunga mana hawaruhusu kutumia acc mbili kwa jina moja.
na kuusu box mwanzon tulikua tunatumia box moja kwa acc zaid ya moja ila kwa saiv cjajua mana niliacha blogging kidogo
Google wazinguaji tu, sasa hvi mpango ni Propela na revenue hits, ukitaka ushaur na mpango mzima nichekJamani naomba kufahamu, nina account mbili za Adsense na zote nimesajili kwa majina yanayo fanana, pia account moja nilishapokea barua na nika-verify account, sasa na hii account ya pili nimetumia address hiyo hiyo niliyotumia mwanzoni je kuna tatizo hapo?, na je nitaweza kuwa nachukua hela western union kwa kutumia kitambulisho kimoja kwa account zote mbili? naombeni mwongozo wenu ndugu zangu.... natanguliza shukrani
Kwann wasema ivyo kaka google wazinguajiGoogle wazinguaji tu, sasa hvi mpango ni Propela na revenue hits, ukitaka ushaur na mpango mzima nichek
Moja ni hosted account na nyingine ni Business account, lakini address na majina vinafanana, sasa naweza nikafanyaje ili wasinifungie
Hawawezi wakakufungia, najua bado hujafikisha dola 10, so nenda setting badilisha majina muweke hata mkeo au jina la nduguyo yeyote address ibaki ileile.Moja ni hosted account na nyingine ni Business account, lakini address na majina vinafanana, sasa naweza nikafanyaje ili wasinifungie
Nenda hapo utaonaBusiness account ndo aina gani ya account ya adsense?
Punguza uongo kijana
baada ya google kuninyoosha nimerudi nyuma kidogo kujipangauliacha blogging au google walikunyoosha..