Wanajamvi heshima kwenu,katika pitapita zangu mtandaoni nilibahatika kukutana na notisi nzuri sana kwa watoto wa shule ya msingi, kupitia forum ya "msomi bora" kwa bahati mbaya sana notes hizo zimezuiliwa yaani huwezi kuzidownload katika mfumo wowote iwe nI PDF au hata Doc kwa maana uweze kuzitumia offline.
ninaomba msaada kwa kuwa najua jukwaa hili lina mabingwa wa tech ni jinsi gani ninaweza kuzidownload notes hizo ili vijana wangu waweze kuzisomea hata wanapakuwa offline. natanguliza shukrani
nimeambatanisha link yenye files ninazotaka kudownload, katika mfumo wowowte ile niweze kutumia offline
View: https://drive.google.com/file/d/1VecrV73_o5d7QE4i5O8Hhl6SnxiR6VD7/view