2019 Wakat nachukua gari hapo beforward nakuta lugha ni japan wale vijana wa pale wanasema tukubadilishie sijui kwa sh. 30k nikasema hapana nimesafirisha gar hado mkoa kesho yake nikaingia playstore nikatafuta translator app nikawa naelekezea kwenye radio then nkaelewa nikachange so fuata hiyo njia