Habari, i hope mko good.
Kuna kitu kinanisumbua sana, yan kila nkiapload picha Facebook inakuwa kam inapungua ubora na muonekano wake,..
kwa yoyot anaejua mambo hizi namn ya kutatua hii changamoto basi anifahamishe, hadi nmesusa kupost sku hizi, mana picha zangu zinaonekana mbovu mbovu wakati camera ya simu yangu ipo vizuri.