Msaada kuagiza bidhaa ambazo haziji tanzania

Candela

JF-Expert Member
Aug 12, 2021
813
2,133
Hello, nahitaji muongozo kuagiza bidhaa ambazo ukiingia Amazon unaambiwa THIS ITEM DOES NOT SHIP TO YOUR LOCATION.
Nina soundbar nililetewa na mtu imekufa, nataka kuagiza nyingine lakini haiwezi kuwa shiped Africa.
Kuna mtu aliniambia nicheki PROSHIP ila sina uhakika na usalama wa pesa, almost dola 1999 fo that sound bar, mtu anaejua nawezaje kutumia address ya UK then mzigo uje TZ.

Asanteni.
 
Nenda hapa utapata maelekezo yote.
 
Back
Top Bottom