MSAADA KOZI YA COMMUNITY DEVELOPMENT

Udart

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
299
377
Kwema. Nina mdgo wangu anataka kusoma KOZI ya community development Kwa level ya cheti binafsi nilipenda asome procurement . hii ya community binafsi naona kama uwanja wa kupata kazi ni mgumu japo naomba wabobez mnisaidie japo naheshimu anachokitaka yeye...
 
Majority ya course ajira ni zakuunga. Community ina uwanja mpana serikalini kuanzia serikali kuu mpaka ngazi ya kijiji. Uko kote kuna maafisa maendeleo bado mashirika ya kijamii na kiataifa. Procurement ni limited kwasababu kuja kufanya shughuli za procurement taasisi au kampuni lazima iwe kubwa na nafasi nichache.
 
Huwezi linganisha procurement na community developement. Procurement ni moja ya kozi zilizo na bodi za ku regulate kama ilivyo MD, Engineering, uhasibu nk!

Nashauri akasome hiyo procurement au kama ana uwezo akasome uhasibu!

NB: Wazazi nyie ndio mnaijua dunia kwanini mnaona mtoto anapotea mnaanza kuleta uzungu? Akimaliza akikosa ajira utamlaumu nani?
 
Hakuna ofisi ya serikali isiyo na mtu wa procurement.

Nimekumbuka kuna ajira ya afisa maendeleo zilitangazwa nne waenda kwenye usahili watu 800.

Akasome procurement au uhasibu otherwise ajiandae kusoma namba.
 
asante mkuu
 
as

Asanteh mkuu umenipa mwanga
 
Majority ya course ajira ni zakuunga. Community ina uwanja mpana serikalini kuanzia serikali kuu mpaka ngazi ya kijiji. Uko kote kuna maafisa maendeleo bado mashirika ya kijamii na kiataifa. Procurement ni limited kwasababu kuja kufanya shughuli za procurement taasisi au kampuni lazima iwe kubwa na nafasi nichache.
Asante mkuu
 
Hakuna ofisi ya serikali isiyo na mtu wa procurement.

Nimekumbuka kuna ajira ya afisa maendeleo zilitangazwa nne waenda kwenye usahili watu 800.

Akasome procurement au uhasibu otherwise ajiandae kusoma namba.
Sasa wakitangaza nafasi moja procurement kwenye wilaya unafkl maendeleo ya jamii watatangaza ngapi? Kumbuka maendeleo ya jamii wapo mpaka ngazi ya kijijii wewe uliwai kusikia afisa ugavi wa kijiji au kata?
 
Mshahara wa afisa ugavi aliyesajili na bodi au mhasibu mwenye CPA utaweza ufananisha na CDO?
 
Achana na hizo zote....
Chukua binti, peleka Veta Moshi akachukue MTM "Mechanical Tools & Maintenance" ama Electrical & Instrumentation, na utakuja kunishkuru.
Hizo courses zina ajira kuanzia serikalini, hospitali, viwandani, miradi ya ujenzi hadi mitaani.
 
Back
Top Bottom