Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,574
- 2,822
Wakuu kama title inavyojieleza nina kitochi hapa huwa kinanisevu sana ku hotspot PC na simu yangu muda mwingine, sasa kinaboot kinaishia kwenye logo.
Nahitaji msaada namna ya kukiflash, hii ni mara ya pili kinarudia hili, mara ya kwanza kilitokea nikakipeleka kwenye Tigo shop yao Dodoma, wakakiflash, msala ukarudi nilikuwa nimeki unlock kutumia line za mitandao yote so nikaingia gharama za ku unlock tena.
Ila kwa sasa naamini warranty yake imeisha make nimekinunua 2019 so siwezi peleka tena Tigo, msaada namna ya kukiflash au anisaidie ROM yake.