Msaada kisheria

Farudume12

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
621
346
Abari zenu wadau, nimepatwa na mtihani baada yaku mzamini rafikiangu fulani
bank, ili aweze kupewa mkopo. sasa baada alipo pewa huo mkopo wa milioni 4, amerejesha rejesho 4tu, akaingia mitini. nifanyeje jamani, ushauri gani mnaweza mkanipa wakuu. asanteni!!
 
Dawa ya deni ni kulipa hakuna zaidi wewe lipa tu halafu ndio umtafute rafiki yako akulipe wewe vingine tutakupiga mnada
 
Dawa ya deni ni kulipa hakuna zaidi wewe lipa tu halafu ndio umtafute rafiki yako akulipe wewe vingine tutakupiga mnada
sawa kulipa sijakataa, ila utaratibu wamalipo (marejesho) utakua sawa sawa, naya yule mwenye deni lake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…