Extrovert24
Senior Member
- Jun 23, 2022
- 144
- 211
Habari zenu wana Jamvi, samahanini kidogo niwatake wenye kujua suala hili waweze kunijuza na namna linaweza kutatuliwa.
Jambo lenyewe ni kuhusu Afya ya uzazi wa mwanamke, mimi mke wangu katika sehemu zake za siri (ukeni) kuna kama kinyama kimeota na humsababishia maumivu Makali Wakati wa kushiriki tendo la ndoa na pia huwa ni sababu ya manii kushindwa kuingia ukeni kwa ajili ya kutungisha mimba, bimaana manii yakitaka kuingia huzuiliwa na hicho kinyama hivo kumwagika tena nje.
Naombeni msaada kwa mwenye ujuzi wa hilo, kama naweza fahamu sababu, na pia namna ya kusolve hilo tatizo.
Nawasilisha