Msaada: Kila nikifuta Apps, zinarudi nikiwasha simu

N'jomba-N'tu

Member
Aug 17, 2015
55
20
Habari wakuu.

Nina simu aina ya tecno M3. Hii simu ina apps ambazo nikizifuta zinafutika lakini nikiwasha simu tu zile apps zote nilizofuta nazikuta zimerudi. Apps hizo ni DU battery saver, 360 speed booster, Miko , Apus n.k

Nimehard reset lakini wapi .
Simu isharootiwa

Je nitazifutaje hizi apps wakuu?
 
kwanza irudishe.kama ilivyotoka kiwandani, namaanisha itowe unroot it na hapo ndo utaweza pata hard resert na zitatoka kabisa na hutopata hio shida tena
 
hapo hadi ukague simu yako, kuna app ina root acess imejiweka kama system app ndio maana uki hard reset haitoki.

kagua apps zako ambazo zinakuja na simu then angalia ipi huielewi elewi. nenda setting then apps then all apps zitakuja app zote
 
KARIAKOO SOFT NI TOP SOLUTION
HYO SIMU YAKO INAWEZA KUTOKA HIZO APPS BAADA YA KUFLASHIWA NA OS MPYA NA BAADA YA HAPO KUNA PROCESS NYINGINE NDO HIZO.APPLICATION ZINATOKA KAMA UTASHINDWA MIMI NAWEZA KUKUSAIDIA PHYSICALLY TUWASILIANE KWA HIZI NAMBA 0653868632
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…