A Abdallah Wa Mchinga Member Jun 14, 2015 9 3 Jun 9, 2016 #1 Nahitaji ile programme ya computer ya "Encarta,the free encyclopedia" yenye masomo kama vile Maths,science,geography na history. Ni Jinsi gani naweza kuipata?
Nahitaji ile programme ya computer ya "Encarta,the free encyclopedia" yenye masomo kama vile Maths,science,geography na history. Ni Jinsi gani naweza kuipata?
Donkere91 Senior Member May 28, 2016 185 155 Jun 9, 2016 #2 Jaribu google kusearch ukitumia terms kama ENCARTA THE FREE ENCYVLOPEDIA FREE DOWNLOAD Au ingia kweny website ya www.kat.ph then uisearch humo...kama ikisaidia rudisha feedback plz.
Jaribu google kusearch ukitumia terms kama ENCARTA THE FREE ENCYVLOPEDIA FREE DOWNLOAD Au ingia kweny website ya www.kat.ph then uisearch humo...kama ikisaidia rudisha feedback plz.