Msaada Kati ya Toyota Platz, Betlta na Vitz

Olsea

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
462
263
Habari Wakuu,

Mimi sio mzoefu sana na sjui chochote kuhusu Magari hivyo ninaomba kuuliza kati ya Toyota Belta,Toyota Platz na Toyota Vitz zote zenye engine ya 2NZ(1290cc) ipi inafaa zaidi kwa kuangalia vigezo kama ulaji wa Mafuta,upatikanaji wa spares na uimara?

Asanteni
 
Zote ni nzuri tu. Mtu ambaye hajawahi kununua au kumiliki gari utamuona ana disi sana.

Ni aidha wewe aina fulani huipendi na unapenda aina nyingine lakini sio kuponda eti ile ni gari gani, ile takataka. Ukiona hivyo huyo hajawahi kununua gari.
 
Back
Top Bottom