Miss lb4lyf
Member
- Sep 3, 2022
- 30
- 19
Habarini,, wakubwa heshima yenu,,, mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs,sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda, na ata nilichosomea niki aplly kweny biashara hii naona kabisa vinauwiyano, kipind nasoma nilishafany biashara ya salon ya kike na nimekua nikijifunza mambo mbali mbali kwenye vipodozi na urembo hivyo naona kua naweza fit kuliko kwenye biashara nyingine, Msaada wenu juu ya mambo yafuatyo
(1)Mambo ya muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza business hii
(2) Mambo ya kuzingatia katika kutafuta loction,mimi nipo dodoma
(3)mambo muhimu ya kuyaepuka katika kuendesha biashara hii,nitakaa mwenyewe sitaitji mfanyakazi kwa sasa
4) machimbo mazuri ya mzigo ya jumla kwa bei nzuri,ata kumi me ntayaangalia yote tu kupata zuri zaidi
4) jinsi ya ku win soko la biashara hii na wateja sehemu nitakayofungua
Na je kwa hii 5m Inatosha kwa kuanzia,
Asanteni naomba mchango wenu sana wana jamii forum na kama kuna chakuongezea pia ushauri nitafurah, Natanguliza shukrani