Kingkongshoulder
Member
- Jun 25, 2021
- 59
- 32
Wadau naomba mwenye uelewa juu ya hii ishu anisaide,najua jinsi ya kudownload subtitle kupitia vlc media lakin nahitaji kuweka iwe ya moja kwa moja yaani ata nikimpa mtu mwingine au nikiangalia kupitia kifaa kingine kama tv ile movie husika icheze na subtitle yake