Msaada jinsi ya kuunganisha kifaa hiki na Power mixer kwa ajili Live-Streaming

Jun 19, 2017
30
18
Amani iwe kwenu ndungu zangu.

Naomba msaada kwa mtu mwenye experience namna ya ku-connect kifaa hiki na Power mixer kwa ajili Live-Streaming.

Screenshot_20220117-212502_WhatsApp.jpg
 
Unataka ku stream live wapi? Kwenye social media kama YouTube au...
Nyongeza tafadhali
 
Kufanya live streaming kwa ku connect camera na hiyo video capture, kuonyesha matukio live toka kwenye camera na kuunganisha na laptop/computer, ku connect laptop kwenye monitor ya pili, kuconnect streaming box to the TV

Pia hiyo unaweza connect kwenye simu na camera kama unatumia simu kufanya live streaming.
Hapo utaingunusha na camera harafu unacinnect na devices kama ni simu, computer, iPad au laptop harafu unaenda live.

Nyongeza hizo waya nyingi nyingi unaunganisha kwa sababu kuna waya wa sauti, video, n.k hivyo nyaya zote utaunganisha.

Ila kama vifaa vipo umbali unaweza kuongeza/kununua HDMI wire/cable/port yenye urefu kama unao hitaji.
 
Sijajua power mix umemaanisha nini! Ili kukusaidia lazima kujua content unaitoa wapi? Kama ni camera lazima iwe na out ya RCA(Camera nyingi za kisasa hazina mfumo huo, zinatumia HDMI). Kama power mix unamaanisha video switcher pia kuna uwezekano mkubwa wa kufeli kwa sababu hazipokei USB.

Panapowezekana, kuchukua signal kutoka kwenye kisimbuzi au deki kwasababu zenyewe huwa na RCA. Kila rangi unaoanisha ambapo kuna video(njano) na mbili za sauti. Utachomeka kwenye PC na inabidi uwe na streaming software installed kama wirecast au OBS(Hii inapatika bure). Mara nyingi havihitaji uweke driver, ukivichomeka vinafanya vyenyewe. Changamoto ya hivi vya rangi tatu ubora wa picha yako utaishia 480 tofauti na HDMI vingi vikiwa 1080
 
Asante sana kaka kwa msaada wako.
Mimi natumia Camera Sony NX100, nahitaji kufahamu ni jinsi ya kuchukua sauti kutoka kwenye power mixer.
R.jpeg.jpg

Asante sana kaka unaweza kunitumia clip fusion ya video
 
Kama mixer yako ni hiyo pichani utahitaji XLR cable ya male-female ambazo zipo nyingi Kariakoo, urefu wa cable itategemea movement yako wakati unafanya kazi pia umbali kutoka mixer inapokaa. Ukishaunganisha, kwenye camera yako utafanya setting itumie sauti kutoka kwenye mixer badala ya camera mic(Kuna vidude chini ya unapochomeka XLR cable). Ukimaliza utaenda kwenye camera setting na kufanya left audio itumie right audio(Kwasababu utakuwa na XLR cable moja kutoka kwenye mixer ambayo utaichomeka upande mmoja

NX 100.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom