Msaada: Jinsi ya kutumia simu aina ya MEIZU m3m

Ngiama makanda

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
1,235
2,112
kwa wataalam wa technology humu JF, naombeni msaada wenu hapo, nina simu tajwa hapo juu imenishinda kuitumia kabisa.

Nimejaribu kui-restore nimeshindwa maana ukienda kwenye app ya setting hakuna baadhi ya features ikiwemo hiyo ya factory reset. Kiujumla simu imejaa App za kichina mpaka basi.

Hivyo naileta kwenu wataalam mnielekeze namna ya kufanya.
 
Screenshot_20240608-161810.png


Soma hapo, unaweza tatua tatizo lako.

 
Back
Top Bottom