.
Nimejaribu kuitafuta play store nako haliko ijapokua mengine yote yapo.
Baada ya kulikosa kuna wazo limenijia. Huenda wameliki wa hili gazeti kuna kitu wanajaribu kuficha hasa kuhusiana na masuala ya kodi. Nawatakia mafanikio ya haraka kujibadili na kutoka kwa jina au usajili mpya kama ilivyokuwa kwa makampuni kama Sheraton @moven park nk, au mobitel@ celtel@ zain na Sasa airtel.
Tunachohitaji sisi ni kuhabarishwa, hivyo vingine hatuna haja navyo.