Dr. Zaganza JF-Expert Member Jul 15, 2014 1,348 2,052 Mar 25, 2017 #1 Habari wakuu. Nina mpango wa kusajili kijigazeti ambacho nitaweza kushare na wenzangu kila asubuhi juu ya habari mpya na za zamani. Kwa kuwa humu JF ni jungu kuu, naombeni msaada wa hatua za kusajili na gharama zake. Namaba:0713-039875
Habari wakuu. Nina mpango wa kusajili kijigazeti ambacho nitaweza kushare na wenzangu kila asubuhi juu ya habari mpya na za zamani. Kwa kuwa humu JF ni jungu kuu, naombeni msaada wa hatua za kusajili na gharama zake. Namaba:0713-039875
L Lidar New Member Feb 14, 2016 2 2 Mar 25, 2017 #2 jalibu mawasiliano hayo maana hao wanatoa uduma ya kusajili kampuni wanaweza kukupa ufafanuzi e.consult16@gmail.com 0655 204 666
jalibu mawasiliano hayo maana hao wanatoa uduma ya kusajili kampuni wanaweza kukupa ufafanuzi e.consult16@gmail.com 0655 204 666
Dr. Zaganza JF-Expert Member Jul 15, 2014 1,348 2,052 Mar 26, 2017 Thread starter #3 Lidar said: jalibu mawasiliano hayo maana hao wanatoa uduma ya kusajili kampuni wanaweza kukupa ufafanuzi e.consult16@gmail.com 0655 204 666 Click to expand... shukrani
Lidar said: jalibu mawasiliano hayo maana hao wanatoa uduma ya kusajili kampuni wanaweza kukupa ufafanuzi e.consult16@gmail.com 0655 204 666 Click to expand... shukrani