Nilifungua account ajira portal mwaka 2020, ila nimesahau password lakni nikienda sehemu ya forget password wanatuma zile digits kwenye namba nilizosajilia account na mimi hizo namba sina na wala sikumbuki.
Nimefanya kila mbinu niwezavyo nimeshindwa kuzipata hizo namba. Nikipiga simu kwa namba za ajira portal hazipokelewi.
Nimechati nao kupitia email yao ila hawajaweza kutatua shida yangu tangu nafasi za kazi zimeanza kutoka mpaka nyingine deadline nahangaikia tu hili suala.