Kuna mdogo wangu nilimpa simu yangu atumie kwa muda simu aina ya TECNO M3 kutumia lakini nikaihitaj tena baada ya pale simu haisomi mtandao zile bars hazionekani inaandika invalid Imei hata ukijaribu kupigia mtu simu haziendi. Ndani ya hii simu kuna APP ya MOBILE UNCLE sijaelewa dogo ndo amefunga simu yangu kupitia hiyo app au? Nawasilisha wakuu.