kaka viber kwenye nokia sijaona ikifanya kazi,nimeiona kwenye android na ios ya iphone.unaweza ukadownload kia app ambacho ni 2.73mb ukiweka kwenye simu inakwambia setup yote ni 13mb inabid uconnect kwenye network ili umalizie installation,ila ukifanya hivyo installation haifanyiki.
ipo viber hadi kwenye nokia asha ipo
ipo viber hadi kwenye nokia asha ipo
natumia nokia e72, kwenye nokia store viber ipo ila nikijarib kuinstall inazingua. Kuna watu wengine niliona wana face tatizo kama langu,do u have a solution for this?
nokia e73 ni s60v3 hazina viber. Symbian zenye viber ni s60 ^3 zinazorun symbian ana na belle pamoja na nokia asha.
nokia e73 ni s60v3 hazina viber. Symbian zenye viber ni s60 ^3 zinazorun symbian ana na belle pamoja na nokia asha.