The observer
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 211
- 84
Wakuu, Nililetewa simu samsung galaxy S4 kutoka nje ya nchi ikiwa rooted tayari. Tatizo likawa kila nikiiwasha badala ya kuandika "Samsung galaxy s4 Gt- I 9505" yenyewe inaandika maneno haya "Samsung custom" ikiwa na ki alama cha kufuli iliyofunguliwa.
Nika unroot kwa kutumia SuperSu application lakini wap maneno yale yanaendelea kutokea. Baada ya kufanya utafiti mtandaoni nikagundua kuwa ni app inaitwa busybox ambayo inakuwa installed simu ikiwa rooted. Msaada ninaoomba ni kujua jinsi ya ku delete hizo busybox files zilizo baki baada kutoa root access Mwl.RCT chief-mkwawa

Last edited by a moderator: