Shida yangu ni kila nikifanya tendo korodani moja ya kushoto inauma sana hasa baada ya kumaliza tendo yaani nikisha kojoa, hii hunipelekea mpaka sitamani tena kufanya tendo wakati mwingine naweza kaa hadi miezi 4 maana hata nikitamani kupiga mzigo nikikumbuka tu ile hali huwa naahirisha kabisa...naombeni msaada tafadhali tatizo langu ni nini?