Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,580
Unaweza tujuza baadhi ya hivyo vyuo mkuuhaaa sheria zimebadilika now huyo dgo option aliyochagua ya kulisuti ni nzuri ila kwa sas anahitajika afanye masomo yote 3 na apate principal pass 2 za kwenda chuo kikuu UDSM,MUHAS,UDOM,SUA..... ama asubili msimu mpya wa masomo vile vyuo vya vilaza mkulu anavovisemea vinaweza shusha cut off point.....
si kazi yangu hiyo kama muelewa utajua ni vyuo gani vilivosalia hapo....Unaweza tujuza baadhi ya hivyo vyuo mkuu
SOMA DIPLOMA HARAKA ACHA UJINGA, KURISIT NI UBOGUSHabari zenu mabibi na mabwana.
Kuna ndugu yangu amehitimu kidato cha sita mwaka Jana matokeo ilikuwa ni DEE sasa anataka kuresit ila hataki kurudia masomo yote anatafuta credit moja tu.
Sasa ndugu zangu Naomba nimsaidie kujua hili hivi kwa Tanzania inawezekana mtu akaresit somo moja au mawili?
Karibuni kwa michango yenu
Vitashusha vipi wakati maximum lazima uwe na D mbilihaaa sheria zimebadilika now huyo dgo option aliyochagua ya kulisiti ni nzuri ila kwa sas anahitajika afanye masomo yote 3 na apate principal pass 2 za kwenda chuo kikuu UDSM,MUHAS,UDOM,SUA..... ama asubili msimu mpya wa masomo vile vyuo vya vilaza mkulu anavovisemea vinaweza shusha cut off point.....
Una hatari wewesi kazi yangu hiyo kama muelewa utajua ni vyuo gani vilivosalia hapo....
basi mwambie aende diploma bado nafasi anayo....Vitashusha vipi wakati maximum lazima uwe na D mbili
ulisoma st joseph ama saut private sector kwa huyu jamaa mtaisoma namba....Una hatari wewe
Sawa mkuu Ahsante kwa ushirikianobasi mwambie aende diploma bado nafasi anayo....
Nimesoma Saut,lakini nina kazi yangu poa tu.ulisoma st joseph ama saut private sector kwa huyu jamaa mtaisoma namba....
ahaaaaa yani hiyo inaitwa mgogoro wa kinafsia utakusumbua sana endapo magu akigusia hilo vyuo vya uchochoroni.....Nimesoma Saut,lakini nina kazi yangu poa tu.
Saut ni chuo cha uchochoroni kumbe,sikua najua!! Poa ndugu naomba nikutakie usiku mwemaahaaaaa yani hiyo inaitwa mgogoro wa kinafsia utakusumbua sana endapo magu akigusia hilo vyuo vya uchochoroni.....
karibu tena jf mawazo ujenziSaut ni chuo cha uchochoroni kumbe,sikua najua!! Poa ndugu naomba nikutakie usiku mwema