NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
Bonyeza volume up na volume down na power vyote kwa pamoja yakija maandishi EMMC READ ONLY haifai huwezi ku update firmwarehabari wa ndugu.HUAWEI Y300
Inawaka lakini haifungui prpgram yoyote inastuck ikishawaka kaalama ka ua je nifanyaje kabla sijaenda kwa fundi
Huawei Y300-0100 emmc read only done ~ Rktool Download | Install | Enjoyhabari wa ndugu.HUAWEI Y300
Inawaka lakini haifungui prpgram yoyote inastuck ikishawaka kaalama ka ua je nifanyaje kabla sijaenda kwa fundi
NA YAKIJA MENGINE NIFANYAJE MKUUBonyeza volume up na volume down na power vyote kwa pamoja yakija maandishi EMMC READ ONLY haifai huwezi ku update firmware
POA YAMEKUJA MARANGI YA PINK HALAFU HAKUNA MAANDISHILazima tuiflashi
AHSANTE MKUUJaribu kufanya hard reset uchek kama itapona... Japo njia hi itapoteza Data zako zote kwenye simu. Ikikataa hiyo ni yakuweka Firmware upya ila sasa kwa ninavyo jua hizo Huawei huwa zinaharibika kitu kinaitwa EMMC chip ambapo hii ni sehem files za Operating system ya simu zinakaa kwahyo kiki haribika kinafanya simu ishindwe kuwaka na kuendela kawaida zaidi huishia kuandika neno Huawei na logo yake tuu.
Hayaji mengine inakuwa pink peke yake yakija mengine siyo kwa maelekezo yangu utakuwa ume bonyeza power na volume upNA YAKIJA MENGINE NIFANYAJE MKUU
hiyo inaponaPOA YAMEKUJA MARANGI YA PINK HALAFU HAKUNA MAANDISHI
Mkuu ikiwa inawaka na kuishia kwene logo inaweza kutengenezeka? Kuna fund alinambiaga haiwez pona tena.Jaribu kufanya hard reset uchek kama itapona... Japo njia hi itapoteza Data zako zote kwenye simu. Ikikataa hiyo ni yakuweka Firmware upya ila sasa kwa ninavyo jua hizo Huawei huwa zinaharibika kitu kinaitwa EMMC chip ambapo hii ni sehem files za Operating system ya simu zinakaa kwahyo kiki haribika kinafanya simu ishindwe kuwaka na kuendela kawaida zaidi huishia kuandika neno Huawei na logo yake tuu.
Soma vizuri maelekezo tumejibu vizuri sana soma maswali na majibu ya wadauMkuu ikiwa inawaka na kuishia kwene logo inaweza kutengenezeka? Kuna fund alinambiaga haiwez pona tena.