Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,075
- 24,856
Naona kuna umuhimu wa kuanzisha chama kipya cha kisiasa, hivi kuna ugumu gani? Au wasajili watatuzuia, au watapoteza kwa kutumia wasiojulikana!
Najiuliza tu, kuna watu hapa Tanzania hawana hata kwa kwenda, kama Dr. Slaa, amekataliwa CHADEMA, amekataliwa CCM, na anapenda kuendelea na siasa.
Au hata wengine ambao sio wafuasi wa vyama hivyo viwili na hawaoni muelekeo wa ACT au NCCR, hatuwezi kuanzisha chama kipya wandugu?
Nataka kujua vigezo na masharti kama inawezekana au haiwezekani.