Kijana anataka kusomea fani ya ualimu wa kufundisha kwenye vyuo vya udereva wa magari.
Je ualimu huo hutolewa na chuo gani Tanzania?
Gharama yake ni bei gani?
Mafunzo yanatolewa kwa muda gani?
Vigezo vya kujiunga vikoje?
Kwa aliesomea udereva chuo chochote kilichosajiriwa na VETA nadhani amenielewa