Msaada Facebook account yangu imefungiwa kwa mda

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,490
4,134
Habar wakuu, Najua wengi hamko Interested na Facebook ila kwangu mimi ndio furaha yangu ilipo.

Nilikuwa nimeset "Two factor auntontification" kutokana na usalama wa account yangu dhidhi ya wadukuzi baada ya kubaini kuna mdukuzi anawinda Account yangu ila baada ya kutaka kurejesha account yangu katika hali ya kawaida

Naambiwa kifaa ninachotumia ni tofauti na kifaa kinachotambulika na facebook, ile hali hii sim ninayotumia ndio natumia kwa Log activities zaidi ya mwaka mmoja sasa,

Msaada kwa anaweza kunisaidia hapa hususan namna ya kwenda livecharts na facebook assistants, au namna ya kufanya nipate msaada wa haraka.

Ahsanten wakuu.
 
Hapa shida ni kwamba unashindwa kulogin au unataka kuweka 2 step authentication?
 
Wanapiga hela kijanja
Siku hizi wanafunga watu walipie 15 usd.

Walinifungua account yangu nikalipa wakafungua

Pumbav kabisa.
 
Muulize Zuckerburg
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…