Clear cache za google play store na google play serviceOk..mkuu natakiwa niifanyaje? But nimeshajaribu njia nyingi nimeremove hio email nimeweka nyingine tatizo alijatatulika bado.
Uko wai mkuuAsante mkuu, hizo pia nimeshafanya nime clear cache, nime clear data lakini bado sijafanikiwa.