Msaada: Eneo ambalo bibi alikuwa analima tangu miaka ya 80, kuna mtu kavamia. Nathibitishaje na bibi kafariki?

Kingdom78

Member
May 31, 2015
72
77
Msaada ndugu nina mgogoro wa ardhi mahali ambapo bibi yangu alikuwa analima kuanzia miaka ya 80 na sidhani kama aliwahi kuwa na hati ya hilo eneo ila ndio mahali tumekuwa tukipata mazao ya kula kama familia.

Sasa kuna mtu amevamia eneo baada ya bibi kufariki, sasa je nitaweza vipi kuthibitisha hilo eneo ni la bibi yangu ili niweze kupata haki yangu kisheriaa!

Nawasilisha
 
Msaada ndugu nina mgogoro wa ardhi mahali ambapo bibi yangu alikuwa analima kuanzia miaka ya 80 na sidhani kama aliwai kuwa na hati ya ilo eneo ila ndio mahali tumekuwa tukipata mazao ya kula kama familia sasa kuna mtu amevamia eneo baada ya bibi kufariki sasa je ntaweza vipi kuthibitisha ilo eneo ni la bibi yangu ili niweze kupata haki yangu kisheria
!nawasilisha
1. History of the shamba/eneo is very important. Tafuta/uliza/peleleza bibi yako hilo eneo alilipataje?
2. Kutoka 1980 mpaka leo ni miaka mingapi? Huyu anayedai sasa alikuwa wapi muda wote huo? Peleleza upate jibu la hilo pia.
3. Tafuta mashahidi ambao wamekuwa wakiishi na kumuona ibi yako akiishi hapo bila mgogoro wowote! Hao ni mashahidimuhimu sana.
4. Kaa na huyu :"mvamizi" mpeleleze atoe historia yake kwenye eneo bishaniwa inasemaje.

From such information above you can build your case more strongly compared to your opponent!
 
Asante sana
 
Nimepata shahidi mmoja ambae alikuwa akimlimia bibi tokea mwaka 2000
 
Msaada ndugu nina mgogoro wa ardhi mahali ambapo bibi yangu alikuwa analima kuanzia miaka ya 80 na sidhani kama aliwai kuwa na hati ya ilo eneo ila ndio mahali tumekuwa tukipata mazao ya kula kama familia sasa kuna mtu amevamia eneo baada ya bibi kufariki sasa je ntaweza vipi kuthibitisha ilo eneo ni la bibi yangu ili niweze kupata haki yangu kisheria
!nawasilisha
Mvamizi ni mtu wa karibu na bibi yako (ndugu)?
 
Nimepata shahidi mmoja ambae alikuwa akimlimia bibi tokea mwaka 2000
huo ni shahidi muhimu sana.
Fungua shauri la usuluhishi kwenye Baraza la ardhi la Kata. Huko mtasuluhishwa. UsuluHishi ukishindikana watawapa/watakupa certificate of failed reconsiliation, then unakwenda Baraza la ardhi na nyumba la Wiaya unafungua shauri.
UKIFIKA HATUA HIYO KUWA EXTREMLY VERY CAREFUL HOW DO YOU BUILD YOUR PLEADINGS. UKIKOSEA HAPO HUKO MBELE UTAPATA SHIDA
 
Back
Top Bottom