Msaada: Dirisha la transfer vyuoni huwa linasogezwa mbele?

Usajili wangu wenda ukakamilika likwa lisha fungwa
Kama uko admitted kwenye chuo fulani na unataka kukihama kwenda kwingine utaratibu unakutaka uandike barua kwa chuo unachotaka kuhamia ili washughulikie kuona kama unakisi vigezo.
Ni usajili upi unaongelea? Usajili upi haujakamilika? Kivipi?
 
Ee kaka najua liko waz ila shida usajili wang auja kamilika, nauliza ili niweze kufanya transfer
Kama unataka kuhama ni lazima usome na kuelewa utaratibu wote wa transfer (transfer procedures ) ambazo ni
-lazima uandike barua kwenda chuo unachotaka kuhamia

-utaweza kuhama kutoka chuo kimoja kwenda kingine kama uko "admitted" kwenye chuo fulani kwa mwaka 2024/2025 na sio "kusajiliwa" (registered). Kusajiliwa ina maana utalipia kiasi fulani cha ada nk. Kama ulipokea admission letter/offer na sasa unataka kuhama unasubiri usajili wa nini?

-uwe na vigezo vya program/kozi unayotaka kwenda kusoma kwenye chuo husika.

Kwa hiyo ni muhimu ukaanza kuandika barua kukamilisha mchakato wote wa kuhama badala ya kusubiri sijui usajili ukamilike mpaka dirisha linafungwa.
 
Iyo barua kaka unaiandika online au
 
Maana mm nataka niingie udom na hapa niko udsm, je iyo barua nitaiandika alafu niipeleke udom au
 
Back
Top Bottom