Naipuli
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 266
- 110
Natumai mko salama wanaJf wenzangu katika ukumbi huu.
Naomba msaada wenu tafadhari, nina laptop tajwa hapo juu. Nina muda mchache sana (Chini ya mwezi mmoja) tangu nianze kuitumia.
Lakini nimekutana na changamoto hiyo kwamba kwasasa haina uwezo wakutunza charge hata kidogo, ili niweze kuitumia ni lazima iwe connected kwenye power source. Kama ikiwa connected naweza kutumia hata siku mzima bila shida, lkn nikichomoa na yenyewe inazima.
Inapokuwa connected, kwenye status bar inaandika "Plugged in and not Charging" nikiangalia kwenye battery status inaandika 100% Fully charged.
Nimechanganyikiwa waungwana, sijafahamu sababu ya tatizo ni nini na solution yake ni ipi?
Naomba msaada wenu tafadhari.
NB: Laptop ni Non-Removabe (Built in) Battery with Docking station.