GAZETI JF-Expert Member Feb 24, 2011 5,281 6,696 May 3, 2016 #1 tatizo inawaka taa ya njano halafu inablink namba 1 na 2 nisaidieni wakuu
ymollel JF-Expert Member Aug 23, 2012 3,096 2,286 May 3, 2016 #2 GAZETI said: tatizo inawaka taa ya njano halafu inablink namba 1 na 2 nisaidieni wakuu Click to expand... fungua chomoa kila kitu isipokuwa processor then washa uone. uendelee kuchomeka kimoja kimoja huku ukijaribu kuwasha
GAZETI said: tatizo inawaka taa ya njano halafu inablink namba 1 na 2 nisaidieni wakuu Click to expand... fungua chomoa kila kitu isipokuwa processor then washa uone. uendelee kuchomeka kimoja kimoja huku ukijaribu kuwasha
the great wizard JF-Expert Member Dec 21, 2015 1,482 887 May 3, 2016 #3 GAZETI said: tatizo inawaka taa ya njano halafu inablink namba 1 na 2 nisaidieni wakuu Click to expand... Kama alivyo sema ymollel chomoa kila kitu ispokua processor. au PSU inaweza kua imezingua.
GAZETI said: tatizo inawaka taa ya njano halafu inablink namba 1 na 2 nisaidieni wakuu Click to expand... Kama alivyo sema ymollel chomoa kila kitu ispokua processor. au PSU inaweza kua imezingua.
GAZETI JF-Expert Member Feb 24, 2011 5,281 6,696 May 4, 2016 Thread starter #4 ymollel said: fungua chomoa kila kitu isipokuwa processor then washa uone. uendelee kuchomeka kimoja kimoja huku ukijaribu kuwasha Click to expand... Mkuu nimejaribu hiyo, nimebadili mpaka Power suply nimeamua kuwa motherboard imekufa
ymollel said: fungua chomoa kila kitu isipokuwa processor then washa uone. uendelee kuchomeka kimoja kimoja huku ukijaribu kuwasha Click to expand... Mkuu nimejaribu hiyo, nimebadili mpaka Power suply nimeamua kuwa motherboard imekufa
GAZETI JF-Expert Member Feb 24, 2011 5,281 6,696 May 4, 2016 Thread starter #5 the great wizard said: Kama alivyo sema ymollel chomoa kila kitu ispokua processor. au PSU inaweza kua imezingua. Click to expand... Mkuu unapatikana wapi nina shida ya motherboard ya dell Vostro na optiplex gx 780
the great wizard said: Kama alivyo sema ymollel chomoa kila kitu ispokua processor. au PSU inaweza kua imezingua. Click to expand... Mkuu unapatikana wapi nina shida ya motherboard ya dell Vostro na optiplex gx 780
Donnie Charlie JF-Expert Member Sep 16, 2009 16,364 18,283 May 4, 2016 #6 Mm ilikuwa inawaka 1,2,3 nikagundua motherboard ndio tatizo.
the great wizard JF-Expert Member Dec 21, 2015 1,482 887 May 4, 2016 #7 GAZETI said: Mkuu unapatikana wapi nina shida ya motherboard ya dell Vostro na optiplex gx 780 Click to expand... dom
GAZETI said: Mkuu unapatikana wapi nina shida ya motherboard ya dell Vostro na optiplex gx 780 Click to expand... dom