computer yangu desktop aina ya compaq sijaitumia miaka mingi lakini nilipoiwasha inawaka na kuniambia "Power-on-Password" nimejaribu kwenda setup imegoma, nimebadilisha hard disk maneno yanakuja hayo hayo ina maana hata ku install window nyingine haitaki.
msaada wataalamu wa computer.