Mitawezaje kutoa pattern cm ambayo uki press volume na power button hailet option ya ku restore na matokeo yake inawaka kabisa? au cm ya namna iyo pattern hutoka kwa computer
ningekupa msaada kama uzi ungekuwa unahusu wanajanvi wote ila kwa vile uzi unamuhusu chief ingekuwa poa kama ungemtumia PM maana ni mahusu kwa ajiri yake pekee