Nina simu yangu Blackberry Z10 nimei-ristoo sasa kwa bahati mbaya ilikaa muda mrefu sana kama lisaa ikiwa ina load tu mpaka chaji ikaisha sasa baada ya kuchomeka kwenye charge simu ilivyowaka ika display simu ikiwa imekuwa connected kwenye kompyuta sasa sijuwi tatizo ni nini na nifanye nini hasa ili tatizo langu liishe.