Kuna kampuni tatu za mabasi ya Dar to Kampala, ambayo ni Taqwa, Falcon na Friends, ila shida ni kwamba hayana route za kila siku. Nenda Ubungo upate maelezo ya kina. ila zuri kati ya hayo ni Friends, Falcon wana tabia ya kufaulisha abiria, nauli si chini ya Tsh 60,000/=
Njia nyepesi na rahisi zaidi panda magari ya Dar - Bkb, bukoba to Mutukula boarder it is just Tsh 3000/= na utawahi zaidi ukilinganisha na mabasi mengine, na utaweza kuchagua gari unalotaka. Nauli ni Tsh60,000/=
You are warmly welcomed to the Uganda Tanzania Boarder.