Msaada aina za magari

umerogwa wewe

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
417
566
Habari za pasaka.....

Nasumbuliwa sana na hizi terminology za magari;
1. Suv
2.Hatcback
3.Sedan
4.Wagon etc


Mwenye kuelewa anidadavulie.......
 
Hatchback
Obviously, ni zile gari ndogo (cars) ambazo bodi lake lina milango pembeni na nyuma! I mean sehemu ya mizigo ipo ndani nyuma ya viti!

Sedan
Obviously, ni zile gari ndogo (cars) ambazo bodi lake lina milango pembeni tu na nyuma ni trunk (buti)! I mean sehemu ya mizigo ipo nje inajitegemea!

Station Wagon
Obviously, ni zile gari ndogo ambazo bodi lake ni mfano wa Toyota Hiace min bus!
 
Kwa uwelewa wangu
SUV-sport Utility vehicle au suburban utility vehicle ni magari makubwa kama Range rover, Vx v8 nissan patrol etc

Hatchback-hizi ni kina IST, vitz etc

Sedan au saloon-hizi ni zile tunasemaga zina muundo wa "taxi" akina verossa,brevis,Mark X,Evolution X

Wagon au station wagon-hizi ni zile zinakuwa unapenda wa buti zinakuwa ni ndefu kidogo na zinakuwa kama hatchback ila tofauti hizi zina space kubwa sana kwa nyuma mfano ipsum, wish etc

Nadhan hapo utanielewa kidogo kama layman
Wajuzi watajazia nyama zaidi
 
Thanx kwa kunidadavulia
 
thanx mkuu
kwa kuongezea Toyota Klugger inaingia kwenye SUV type na Toyota Wish inaingia kwenye Wagon...right??
 
Kwa kuongezea hapo kwenye station wagon, magari kama mashangingi ni station wagons.
 
ww hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…