Mchumba wako ni mkeo mtarajiwa...ni mtu bila kujali imani za kidini utakayeishi naye mpaka kifo kitakapowatenganisha hupaswi kumficha vitu vingi...kimojawapo kikiwa hiki...!
Lakini siku nyingine njoo na post yenye kuakisi ukweli achana na hizi za kutunga!always zinakuwa na mapungufu. ...
Anaingia pm zako kwakuwa anajua password yako na ID yako! Sasa kwa post kama hii unategemea utaaminika kweli kuwa ulichoandika ni ukweli?