MS Outlook inakera je email gani client nzuri iwe mbadala wa outlook

renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
2,134
3,057
Habar wadau !!!

Hope wote mpo poa niende moja kwa moja kwenye mada nadhani wengi kati yenu mnatuia outlook na karibu ofisi nying zinatuia outlook for person and office work

Mi kinachoniudh kwenye outlook ni WHITE BACKGROUND kwenye inbox hiki kitu sio kigeni wngine wanakiita themes means muonekano sasa outlook wameweka themes chache kibaya zaidi izo izo chache hazijakidh ubora mi napenda email inbox yangu iwe na rangi ya blue au njano kwa nyuma means background na maandishi uawe meusi hii inavutia na haimchoshi mtumiaji

Naombeni msaada nifanye nini je ni email gani client ipo vzr kuzid outlook

Na vipi kuhusu PST file nataweza liinstal katika io email client mpya hili nione emails zangu zote from year to years

Shukrani

Mwandiko mnisamehe
 
Ukumbuke kujali usalama wa data kipindi unatafuta client nzuri maana za vichochoroni na zile mod zitakuweka kwenye "coma" kuna kuna sensitive issue pia unaweza send feedback kwao uone jinsi gani wanaweza kusaidia katika kuongeza feature alafu na fikiri kwenye windows kutakuwa na option ya color ambayo itachange rangi za app pia
 
Huyu ni mwenzetu hana data zozote za kutusha. angekuwa anadeal na sensitive data wala asingeomba ushauri hapa. hana email za maana zaidi ya notifications za Fecibuku
 
Windows si ina rangi karibia zote? Ukichange theme iwe ya njano kwenye Outlook haibadiliki?
 
Back
Top Bottom